“Newcastle The Carabao Champion” Miaka 70 imetosha kwa miamba Newcastle kuchukua tena kombe hili la kihistoria, kama gari limewaka hivi, na ndoto za ubingwa zikiwa hai.

Msimu juzi Mabingwa wapya wa Carabao walicheza final na Mashetani wekundu, Manchester United na waka pigika goli 2 bila, na wakakosa ubingwa ila msimu huu wakasema hapana lazima kombe libebwe, na kwasasa Newcastle inamilikiwa na mmoja wa matajiri wakubwa ulimwenguni.

Msimu huu wame kutana na Liverpool ya moto Liverpool walio ichakaza Real Madrid kwenye champions league, ila Newcastle hilo halikuwa tatizo lao, wao wali focus na kabumbu tu na mwisho wa siku kombe kibindoni na rasmi wana subiria kupata nafasi ya makombe mengine.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here