Kilian Mbappe Bado Bao 2 Kufikia rekodi ya Ronaldo katika msimu wa kwanza ndani ya Real Madrid, Katika siku ya Jana Kilian Mbappe amefunga bao nakukaribia rekodi ya Ronaldo alio iweka katika msimu wa awali ambao alijiunga na watu wa Madrid,

Mbappe kasema kwamba ” Hata kama nitafunga mabao Mengi kuliko Ronaldo katika msimu wa kwanza ndani ya viunga vya Madrid haina maana kama mimi ni mkubwa kuliko yeye (Ronaldo) hizi ni namba tu.

“Sipo Hapa kuwa mkubwa kuliko mwingine, au kuwa zaidi ya mwingine ila nipo hapa Kwaajiri ya makombe tu basi na hilo ndio Muhimu zaidi.”

Mbappe bado mabao mawili tu kufikia rekodi ya Ronaldo na bado Mabao saba kuwa mtu ambaye kafunga mabao mengi zaidi katika msimu wa awali ndani ya viunga vya Madrid.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here