Mwanamichezo

Manchester City Waambulia sare dhidi ya Briton, Mambo Magumu

Manchester City Waambulia sare, Na kuruhusu magoli 40 Ya kufungwa.Hadi Sasa Manchester City ni ya 5 kwenye nafasi msimamo wakiwa na point 48 nyuma ya Chelsea ambao wana point 49, huku Newcastle wakiwa na alama 47Mambo sio mambo baada sare ya leo walio ipata,

nakujiweka sehem ambayo sio rahisi kuingia top 4 maana ili waingie ni lazima Chelsea waweze kuharibu mechi moja. Sasa hesabu zikisha hamia kwenye calculator ni ngumu mno kufanikiwa jambo lao.Sema tunaizungumzia timu ambayo imechukua premiere ligi mara 4 mfululizo,

tunaizungumzia city ili walaza magwiji wa soka na viatu. City ilio beba UEFA Champions league, City ilio mgaragaza Real Madrid na Buyern Munich, City ilio ingia fainali mbili za uefa na kubeba moja.Ila Sasa City iko utepe Draw kwao angalau wana haki ya kuwa hivi kwakuwa washa tesa watu sana miaka 8 hii ilio pita.Mwaka huu City wana nafasi ya kuingia Europa league

Exit mobile version