Katika hali ya kushangaza mchezaji wa sporting lisbon ambayo ili mtoa kwa mkopo mchezaji huyo kwenda Las Palmas, sasa chelsea wamejitosa mazima bila kusubiri kuuliza wakishinikiza kumpata mchazaji huyo.
Kwa upande wa mchezaji amesha sema ndio yupo tayari kwenda Chelsea hivo kinacho bakia ni muda na wasaa wa kinda huyo wa miaka 20 kuthibitisha kwa maanshi dhidi ya timu ya chelsea, ambayo moja ya timu vijana wengi wame kuwa wakiwa nandoto nayo kujiunga humo.
Mashetani wekundu manchester UTD waliwahi kumhitaji ila hawakuweka mambo bayana kwamba wana mhitaji kwa kiasi kikubwa kama ambavyo amefanya chelsea kwa mchezaji huyo.
Mwamba Fabrizio ameweka bayana naye kuhusu jambo hili na liko wazi kijana wa umri 20 miaka kasema yupo tayari kutua darajani kutumia wana wa bluu kazi ni kazi.
Ni miongoni mwa tabia ya Chelsea kusajiri vijana wadogo wenye uwezo mkubwa na sajiri hii inaonekana kuwa na faida kubwa sana kwa upande wa chelsea pamoja na kijana mwenyewe